Saturday, September 17, 2016

Unknown

DIAMOND kumsaini msanii wa nje ya Tanzania, WCB

Diamond Platnumz amethibitisha kuwa kwa yupo kwenye mipango ya kuongeza nguvu kwenye lebo yake ya WCB kwa kumsaini msanii wa nje ya Tanzania.
Hitmaker huyo wa Kidogo amesema hayo wakati akijibu swali la shabiki kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “WCB hamjafikiria kusaini msanii nje ya Tanzania au mtafanya?”
Diamond alijibu swali hilo kwa kuandika, “Soon.”
Aidha muimbaji huyo amesema kuwa kolabo za wasanii wake wa WCB ambazo wamefanya na wasanii wa nje zipo tayari.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.