Thursday, September 1, 2016

Unknown

Deni Analodaiwe MBOWE na NHC, Madalali Wavamia Ofisi za Tanzania Daima na Kuanza Kutoa Vitu Nje

Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa Tanzania Daima wako kwenye crisis kubwa kwa sababu watu wanaodaiwa kuwa ni Madalali wa shirika la nyumba la Taifa la NHC wamefika ofisini kwao asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa vyao vyote nje ofisini.

Madalali wa NHC sasa wanatoa vitu nje kwenye ofisi za Mmiliki wa Tanzania Daima gazeti ambalo inahisiwa linamilikiwa na Mh Mbowe.

Nadhani mtakumbuka siku kadhaa zilizopita mkurugenzi wa NHC ndugu Nehemia Mchechu alimtaja Mbowe kama miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo na kudai alishamuandikia notisi yakulipa deni notisi ambayo imeisha jana.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.