Friday, September 16, 2016

Unknown

David Luiz kucheza mechi yake ya kwanza leo dhidi ya Liverpool

Kocha wa Chelsea Antonio Conte amesema kuwa beki David Luiz atacheza mechi ya leo ya Ligi kuu England dhidi ya Liverpool, Stamford Bridge.
Hii itakuwa mechi ya kwanza ya Mbrazil huyo tangu arejee darajani akitokea PSG.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.