Magoli ya Rapid Wien yalifungwa na Stefan Schwab dakika ya 51, Joelinton Cassio dakika ya 59 na nyota wa Genk aliyejifunga baada ya kumrudishia mpira kipa wake Marco Bizot na kuukosa dakika ya 60, KRC Genk watacheza mchezo wao wa pili wa Europa League Septemba 29 wakiwa nyumbani dhidi ya klabu ya Sassuolo Calcio ya Italia.
Msimamo ulivyo baada ya mechi za leo!
Note: Only a member of this blog may post a comment.