Monday, September 26, 2016

Unknown

Baada ya kuzushiwa kifo, Bilionea Dangote ameyaandika haya....

Leo September 26, 2016 nimezipata hizi taarifa juu ya mtandao mmoja kutoka Ujerumani wenye jina la DW-TV3 kuchapisha taarifa za kifo cha Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote. DW-TV3 waliandika kuwa tajiri huyo amefariki dunia akiwa nchini Nigeria baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Hii ni post iliyowekwa kwenye mtandao huo.  
Muda mfupi baada ya kuzuka kwa taarifa hizo, Aliko Dangote alikanusha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kupost kuwa yuko Afrika kusini na yuko salama kabisa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.