Sunday, August 14, 2016

Unknown

Video MPYA: AY Anakualika Kuitazama Hii iIaitwa ‘El Chapo’

Ni time nyingine tena ya kuipokea burudani kutoka kwa mkali wa bongo flava Ambwene Yesaya ‘AY’ ambaye anakualika leo August 13 kuutazama huu mdundo wake mpya alioupa jina la ‘El Chapo ‘ ukimaliza kuitazama itakuwa poa ukidondosha comment yako chini kutolea maoni yako ili baadae apite kuzisoma.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.