
Arsenal wametangaza kukamilisha usajili wa Shkodran Mustafi kutokea klabu ya Valencia ya Hispania, Mustafi ni mchezaji wa sita kusajiliwa na Arsenal msimu huu baada ya Lucas Perez, Granit Xhaka, Rob Holding, Takuma Asano na Kelechi Nwakali.
Mustafi mwenye umri wa miaka 24 anajiunga na Arsenal akiwa ameichezea Valecnia jumla ya mechi 64 katika misimu yake miwili akiwa na klabu hiyo, bado dau la usajili halijawekwa wazi ila inaaminika kuwa Wenger kaacha ubahili na kutumia karibia na pound milioni 35 ili kumpata staa huyo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.