Wednesday, August 10, 2016

Unknown

Good news: Wakazi wa Mbagala kuanza kutumia usafiri mpya wa majini…

Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Serikali ina mpango wa kuanzisha usafiri wa majini ambao utakuwa ukianzia Posta mpaka Mbagala Usafiri huo mpya wa Boti za kisasa utasaidia kupunguza foleni za barabarani kwa wakazi wa Dar es Salaam. 

Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alisema>>>Tunao mpango wa kuhakikisha ya kwamba wananchi wanaoishi Mbagala wanaanza kutumia usafiri wa boti badala ya usafiri wa Daladala na tayari tumeshatuma watu wanafanya upembuzi yakinifu kama inawezekana kutumia boti za kisasa kupunguza foleni za barabarani’– Paul Makonda.

Unaweza ukabonyeza Play kuitazama hii video uone kilichozungumzwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusu usafiri huo mpya

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.