Tuesday, July 5, 2016

Unknown

AUDIO: Mume Kamfungia Mke Mgonjwa Miezi Miwili Mpaka Majirani Walipogundua!

July 05 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, kulitokea hekaheka kutokea maeneo ya kawe jijini Dar es salaam, ambapo Geah Habib ametusogezea hii ya Mume kumfungia ndani mke wake mgonjwa kwa miezi miwili mpaka juzi majirani walipomsikia analia ndani ndio kusogea nakukuta hali yake sio nzuri, Dada huyo amesema kwao ni Bukoba kashai anaitwa Riziki kwa hapa Dar es salaam anasema hana ndugu.

Mume alipojaribu kutafutwa na majirani hakuweza kutoa ushirikiano wowote kuhusu mke wake, alikataa na kuwaita majirani ni wambea, mwanamke huyo kwa sasa hasikii vizuri kutokana na kipigo kutoka kwa Mumewe.
Bonyeza Play kusikiliza Full Stori hapa chini…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.