Friday, June 3, 2016

Unknown

Nilifanya Naye Mapenzi Kinyume na Maumbile (tiGo), Je Anafaa Kuoa?!

Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza kidole nyuma nikaona ametulia, pepo likaniingia, siku ingine nikaendelea akanyamaza, siku ya tatu nikajaribu kuingiza dushelele akatulia, ikawa ndiyo mchezo wetu.

Kwa kuwa alinipenda sana akaniambia anavumilia, iliendelea nikaja mpa ujauzito, nilikua namhudumia sana, nikahama kikazi. Toka siku hiyo ikawa ni mawasiliano namhudumia mpaka akajifungua kwa operation niliingia gharama zote.

Kiukweli alipata mtoto wa kike alitoka copryt na mm, tulifanana sana na mtoto sikuwahi enda ila namlea sana mtoto.

Huwa naona aibu na uchungu kwa tabia na mchezo tuliokuwa tunafanya nafikiria je nimuoe? Na je navyosikia mwanamke akianza ule mchezo haez uacha, je atauacha? Na je tutakuwa na heshima?
Naombeni ushauri wenu wa dhati Jamani

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.