Monday, June 6, 2016

Unknown

MSHTUKO! Hata Mwaka Mmoja Haujafika Msanii MENINA Aaachika na Kuolewa Tena na Mwanaume Mwingine Jana Jumapili!

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’ na ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili.
Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika.
Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo.

Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la Abdulkareem. Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.
Muimbaji huyo amepost picha ya ndoa yake mpya Instagram na kuandika:

Tunamtakia Meninah maisha yenye furaha tele kwenye ndoa yake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.