
Bingwa huyo wa dunia wa uzani wa juu wa zamani alilazwa hospitalini toka siku ya Alhamisi June 02 2016 kufuatia tatizo kwenye mapafu, Bondia huyo mbali na kupatwa na tatizo kwenye mapafu alikuwa akiugua kiharusi. Ali alipatikana na ugonjwa wa Parkinson mwaka wa 1984 baada ya kustaafu ngumi za kulipwa .
Note: Only a member of this blog may post a comment.