Tuesday, May 10, 2016

Anonymous

WEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram... Saa Zingine Nashindwa Kuvumilia"

Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na kusema pia hiyo ndo ilikuwa sababu moja wapo ya yeye kutangaza sana kuwa anamimba kipindi kile kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....
Jamani Punguzeni Kidogo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.