Thursday, May 26, 2016

Anonymous

Video : LULU Michael Afunguka Kuhusu Mimba Yake, Kuolewa na Kutengana kwa Wazazi Wake!

Miezi michache iliyopita mwanaBongo movie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa?
Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video.

Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza mskiza katika video hii hapa chini ....
TAZAMA VIDEO HAPA:

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.