Thursday, May 26, 2016

Anonymous

VIDEO: Cannavaro Alisema Kastaafu TAIFA Stars, Mkwasa Kamuita, Maamuzi Yake Je?

Nadir Haroub Cannavaro nahodha wa Yanga ambaye alitangaza kustaafu timu ya taifa baada ya kuvuliwa unahodha, mwenyewe anasema alikosewa heshima kwa kupewa taarifa kupitia vyombo vya habari, kaitwa tena timu ya taifa na kocha Mkwasa je ataenda?
“Ni kweli kocha Mkwasa kaniita timu ya taifa ila kwa sasa nasikiliza uongozi wangu, kila kitu nawaachia viongozi, kama nitaenda au sitaenda mtajua tu maamuzi ya mwisho”

-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.