Monday, May 2, 2016

Anonymous

UTATA! Je, ZARI na Aliyekuwa Mumewe Ivan Wamerudiana? Hizi Picha zazua Utata Mkubwa Huko Insta

Huku Instagram picha hizo mbili zimekuwa gumzo leo baada ya Mama mtoto wa Diamond kwasasa Zari Hassan na aliyekuwa mumewe Ivan Kuonekana wamepiga picha sehemu moja inayofanana kwenye sehemu ya kuogelea..Picha hizi zimeleta wasiwasi kuwa huenda wawili hao walikuwa pamoja wakiogelea huku wengine wakimtetea Zari na kusema kuwa yeye alikuwa hiyo sehemu siku nyingi lakini Ivan ameenda sehemu hiyo hiyo na kupiga picha na kuzitupia mtandaoni leo kumuumiza Diamond na kuwapa watu cha kuongea

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.