Monday, May 2, 2016

Anonymous

Prof. Tibaijuka: Rais Magufuli Aache Kutumbua Nyama Akayaita Majipu... Wengine Tunatolewa Kafara na Mtandao Hauguswi

Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe hauguswi.

"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu". Alisema Prof Tibaijuka.
My take:

Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani? Hivi Prof ni msafi au anajitetea?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.