Friday, May 6, 2016

Anonymous

Mwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha..Adai Kikwete Amestaafu Urais na Pesa!

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Ameandika kwenye page yake ya Facebook
''Dady i miss u 😭. pesa imestaafu na wewe, maisha magumu kweli, siku hizi pesa naiona kwenye taarifa ya habari, habari za biashara''

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.