Saturday, May 21, 2016

Anonymous

MSIBA: Mkurugenzi wa Jiji la Dar Aliyetumbuliwa na Rais MAGUFULI Daraja Jipya Afariki Dunia


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita
Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.