Yule askari maarufu wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam kwa kuongoza magari/kuelekeza njia za kupita kukiwa na foleni Sajenti Ally Kinyogori amefariki usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Mwandege nje kidogo ya jiji la Dar.
Kinyogori alijizolea umaarufu katika kipindi cha redio One kila siku asubuhi alipokua akitoa taarifa za hali za barabarani zikiwemo njia zenye foleni kwa wakazi wa jijini.
Marehemu ameuwawa na watu wasiojulikana kwa risasi baada ya kwenda nyumbani kwake Mwandege wakiwa na pikipiki, na baada ya kumpiga risasi wakatokomea bila ya kuchukua chochote.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.
-JF

Note: Only a member of this blog may post a comment.