Friday, May 13, 2016

Anonymous

MAKAVU LIVE: Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya!

Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo yumo.

Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.