Tuesday, May 17, 2016

Anonymous

JOHARI Afunguka Kuhusu Mpenzi Wake Mpya!


Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki mpenzi wake lakini ukweli ni kwamba ishu hizo hazifagilii.

Akizungumza na gazeti hili, Johari alisema kuwa hakuna mwanamke ambaye anakosa mpenzi hususan kwa umri wake lakini hapendelei kumweka hadharani na wala hana tatizo.
“Sipendi kwa sababu kuna kipindi watu walikuwa wanasema natoka na Ray (Vincent Kigosi) lakini hawajahi kuona namweka kwenye mitandao,” alisema Johari ambaye ni Boss Lady wa RJ Company.
Chanzo: GPL

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.