Friday, May 13, 2016

Anonymous

Cyrill Kamikaze Afunguka Kuhusu Kuwa na Uhusiano na Mrembo Mwenye Shepu ya Hatari, KIDOA

Rapper Cyrill Kamikaze amekanusha kuwa na uhusiano na video Queen wake wa katika video ya ‘Shori’ Kidoa.
Akiongea na E-Newz, Cyrill amesema kuwa yeye na video queen huyo ni washkaji tu. Kuna tetesi kuwa Cyrill alimtosa mwanamke wake wa zamani ili awe na mwananadada huyo.

Kuna picha ambayo Kidoa alipost na kuandika: He is ma real Ma, huku zikiwa zimebebwa na picha za Cyrill. Hata hivyo rapper huyo amekanusha kwa kudai, “Watu tu wameamua kuichukulia hivyo lakini hakuwa huko.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.