Bifu la Harmonize na Team WEMA Sepetu Lachafua Hali ya Hewa!
Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu.
Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga matusi yote ya dunia hii kutoka kwa team Wema.
"sista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu " - Harmonize
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.