Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalimu, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoea kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Je Kasi ya Magufuli Imewanjamazisha au ndio Ukiona Kobe Kainama Ujue Anatunga Sheria?

Note: Only a member of this blog may post a comment.