Sunday, April 10, 2016

Anonymous

Msanii Mwingine wa Bongo Anayeteketea Kwa Madawa ya Kulevya Huyu Hapa

Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.
Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.
..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.