Mwanamuziki Chris Brown amesema kuwa alitaka kujiua baada ya
kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka
2009.
Katika kipande kifupi cha makala yake ya ‘Welcome to My Life’, mwanamuziki huyo wa R & B amesema kuwa uhusiano wao ulikuwa kama ndoto lakini akajihisi kama hayawani.
Brown alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kufuata shambulio hilo. Kifungo hicho kilisitishwa mwaka jana baada ya jaji moja kusema kuwa nyota huyo amekamilisha mahitaji yake yote na kufunga kesi hiyo rasmi.
Makala hiyo inayowaonyesha Jennifer Lopez,Usher, Mike Tyson, Jamie Fox na Rita Ora, Chris Brown anasema kuwa ”Nilihisi kama nyota, lakini nilijiharibia”.
”Nilikuwa nikilala. Sikuweza kula,nilijihisi maarufu”,alikiri.

”Nilikuwa katika kilele cha dunia,nyimbo
zangu zikiongoza,nikapendwa na wengi nchini Marekani kabla ya kuanguka
hadi kuwa adui wa uma”, alisema Breezy.
Brown alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kufuata shambulio hilo. Kifungo hicho kilisitishwa mwaka jana baada ya jaji moja kusema kuwa nyota huyo amekamilisha mahitaji yake yote na kufunga kesi hiyo rasmi.
Makala hiyo inayowaonyesha Jennifer Lopez,Usher, Mike Tyson, Jamie Fox na Rita Ora, Chris Brown anasema kuwa ”Nilihisi kama nyota, lakini nilijiharibia”.
”Nilikuwa nikilala. Sikuweza kula,nilijihisi maarufu”,alikiri.
Tazama Documentaty Trailer ya Welcome to My Life
Note: Only a member of this blog may post a comment.