Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji Amerejea CUF huko Zanzibar
Aliyekuwa mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.