Monday, April 4, 2016

Anonymous

AJALI MBAYA DAR: Gari Lateketea Kwa Moto Pamoja na Dereva Akiwa Ndani... Share Habari Hii Imfikie Mwenye Gari


KUNA GARI IMEPATA AJALI MAENEO YA MBEZI BEACH AFRICANA GARI NO T598BEL TOYOTA LANDCRUISER DEREVA KAUNGUA HAJAFAHAMIKA HATA KWA SURA,SAMBAZA UJUMBE HUU GROUP TOFAUTI ILI WENYE NDUGU WAMFAHAMU,GARI LIPO POLISI KAWE.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.