WACHIMBAJI wadogo watano wamefariki dunia jana huku wengine wanne
wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakiwa
katika harakati za kutafuta dhahabu kwenye kijiji cha Mgusu mjini Geita.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Zifuatazo ni picha kutoka eneo la machimbo:
Baadhi ya maiti zilizotolewa katika kifusi kilichodondoka.
Zoezi la uokoaji likiendelea.
Picha kwa hisani: www.geita.info
Note: Only a member of this blog may post a comment.