March 13 mshambuliaji wa kimataifa wa
Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta
alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili
ndio goli lake la kwanza akicheza first eleven na la pili toka ajiunge
na klabu hiyo.
Monday, March 14, 2016
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
SPORTS AND ENTERTAINMENTS,
VIDEO
on Monday, March 14, 2016

Note: Only a member of this blog may post a comment.