March 12
2016 kulifanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina
la Malkia wa Nguvu, tuzo ambazo ziliandaliwa na Clouds Media Group na kutolewa JijiniDar es saalam.
Burudani
pia ilichukua nafasi yake katika kukamilisha shughuli nzima, hapa
nakukutanisha na mchekeshaji Mc Pilipili na huu utani wake kuhusu
warembo wa bongo….
Note: Only a member of this blog may post a comment.