Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, watano wamehamishwa vituo vya kazi na mmoja amepangiwa Mkoa mpya wa Songwe sasa wakati wa kuwaapisha kuna mmoja wa viongozi aliteleza kufata kanuni za viapo, tazama kwenye hii video hapa chini.
Wednesday, March 16, 2016
VIDEO: Rais MAGUFULI Alivaa Sura ya Kazi Kuwaapisha Wakuu wa Mikoa Ila Hiki Kilichekesha Wengi Akiwemo Yeye
Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, watano wamehamishwa vituo vya kazi na mmoja amepangiwa Mkoa mpya wa Songwe sasa wakati wa kuwaapisha kuna mmoja wa viongozi aliteleza kufata kanuni za viapo, tazama kwenye hii video hapa chini.

Note: Only a member of this blog may post a comment.