Monday, March 7, 2016

Anonymous

VIDEO: Mtazame Huyu Jamaa Anaeigilizia Sauti ya KIKWETE na Dr. MAGUFULI Kisha Niambie Kampatia Nani Zaidi?!


Kuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu alafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi… huyu jamaa ni miongoni mwa hao Mamaster, mtazame anaitwa Shaphii Omary kwenye hii video alafu uniachie comment chini kuniambia kampatia nani zaidi mtu wangu.  
KUTANA NA HUYU MCHEKESHAJI ALIYEIIGILIZIA SAUTI YA RAIS MAGUFULI…. JINA LAKE NI MLUGALUGA, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.