Wednesday, March 30, 2016

Anonymous

SUGU AWA-DISS WASANII WANAOFANYA SHOW NJE YA NCHI

Msanii mkongwe na mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu ametoa mtazamo wake kuhsiana na game la muziki wa Bongo fleva.
“Huwezi kutoa credit kwa kusema wasanii wanaenda kupiga show Ulaya, Sugu, X-plastars, tumekwenda tour Europe miaka 20 iliyopita 18 au 17, kwa hiyo mimi sichukulii hiyo kama credit kama tour tulizokuwa tunapiga sisi,” Sugu aliiambia Planet Bongo.

Pia sugu amesema wao walikuwa wanafanya kwenye matamasha makubwa alkini tatizo hawakupewa support kubwa nyumbani kama wasanii wa sasa

“I apriciate hustle za kila mtu lakini sisi tulikuwa tunaenda kwenye mafestival ya dunia unapiga mbele ya mtu laki moja, ukirudi nyumbani hakuna suport kwa hiyo ili watu laki moja waliokuona kule wakupe thamani wanakuja kuangalia huko kwenu huko vipi unakuta watu wanakuzingua tu,” alisema Sugu.
Sugu aanfanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Frredom’

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.