Monday, March 14, 2016

Anonymous

STAA DIAMOND PLATNUMZ ATOA CHOZI KWA TIFFAH!


Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anaiwakilisha Tanzania kwenye nyanja za kimataifa Diamond Platnumz amepokea majibu ya vipimo vya DNA nchini Afrika Kusini vilivyothibitisha kuwa yeye ni baba wa mwanae Tifah.

Kwamujibu wa mahojiano aliyofanyiwa na Citizen Tv Diamond anasema alimwaga machozi baad aya kupewa majibu hayo na kujua ukweli.

“Watu waliongea sana mambo ya uongo,sikuwa na wasi wasi kabisa, nilijua mtoto ni wakwangu, ili kujifurahisha na niwe na amani niliamua kufanya vipimo hivyo, Tifah ni mtoto wangu kabisa, na sasa hata ukija kwenye ofici yangu utakuta mapicha ya Tifah makubwa na ssa naweza pambana na uvumi wowote“

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.