Wednesday, March 16, 2016

Anonymous

Rais Magufuli: IPTL ni Mkataba wa Ovyo, Serikali Haitaendelea Nao

Rais Magufuli amesema kuwa IPTL ni mkataba wa hovyo na Serikali yake hautaendelea nao.
Rais John Magufuli ameyasema hayo wakati akizindua ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa Megawati 240 cha Kinyerezi II Dar leo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.