Wednesday, March 30, 2016

Anonymous

PREZZO AVUNJA NDOA YA MTANGAZAJI HUYU BAADA YA INTERVIEW


Mtangazaji aliyetongozwa na rapa Prezzo wakati wa interview yao kwenye tv Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari,

Taarifa za blog za udaku Kenya zinasema mtangazaji Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari baada ya uvumi kusambaa kuwa anatoka na Prezzo.
Siku chache nyuma Prezzo na Dennis Okari walitukanana twitter baada ya Prezzo kuonyesha tabia ambayo ilitafsiriwa kuwa sio sawa wakati anafanyiwa interview na Betty Kyallo.

Pata Stori Kirahisi Zaidi, Instagram>INSTAGRAM

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.