Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

PICHAZ: Mwanadada VANESSA Mdee Afanya Ziara Kwenye Redio/TV za Uganda

Vanessa Mdee yupo nchini Uganda alikoenda kutumbuiza show iliyopewa jina ‘Inspring Women’s Experience’ mahsusi kwaajili ya siku ya wanawake duniani. Show hiyo ilifanyika Jumatatu hii. Kabla ya hapo, Vanessa alifanya ziara kwenye redio na TV mbalimbali za Uganda. Chini ni picha zake.










USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.