Monday, March 7, 2016

Anonymous

Pichaz 20 za Mapokezi ya Richie Richie Airport Baada ya Kuwasili na Tuzo Kutokea Nigeria


Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie usiku wa March 6 kuamkia March 7 aliwasili Airport Dar na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili aliyoshinda Nigeria

Kulia msanii wa filamu Niva alikuwepo kwenye mapokezi


Aliyevaa kofia ni Prince na aliyeshika maua ni Darleen wote watoto wa Single Mtambalike

Mke na watoto wa Single Mtambalike

Single Mtambalike akiwasili na tuzo Airport Dar kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba na kushoto ni katibu mtendaji wa bodi ya filamu Joyce Fisoo

Single Mtambalike akimbusu Darleen baada ya kupokea ua kutoka kwake

Furaha ya waliojitokeza ikabidi wambembe kwa furaha

Alivyodakwa na Camera za waandishi

Furaha ya ushindi ikabidi aungane na mashabiki kucheza


Baada ya mapokezi hapo hapo Airport ikatolewa keki

Mama mzazi wa Single Mtambalike akila keki

Mama na mwana

Single akimlisha keki mama mkwe wake

Kutoka kushoto ni mama yake mdogo na Single na baba yake mzazi Rajabu Mtambalike

Prince akilishwa keki na baba yake

Katibu mtendaji wa bodi ya filamu Tanzania Joyce Fisoo akimlisha keki Single

Dude akila keki

JB akila keki

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.