Thursday, March 10, 2016

Anonymous

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman MBOWE Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. SLAA

Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa baraza kuu CHADEMA ambao utamtangaza Katibu mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.