Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

MSANII DOGO JANJA ASEMA SITAKI SHULE TENA ASEMA ANACHOKITAKA!

Msanii wa bongo fleva,Dogo Janja amefunguka na kusema kuwa anajisikia vibaya pale anapoulizwa juu ya swala la yeye kukatisha masomo yake.
Msanii huyo alisema kwenye mahojiano yake na redio na kusema yeye sasa hivi yuko kikazi zaidi,usomi amewachia akina Nikk wa Pili.
“Kwenye My life nimeishajibu tayari kuwa, msomi ni Niki wa Pili mimi niliachaga Makongo” alifunguka Dogo Janja.
Source: Times Fm

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.