Thursday, March 10, 2016

Anonymous

Meneja wa DIAMOND Akosoa Kauli ya Harmonize Kuhusu Rich Mavoko Kusign Mkataba wa Kuwa Chini ya Diamond... Asema Haya

Rich Mavoko bado hajasaini na Wasafi Records, kwa mujibu wa meneja wa Diamond, Sallam.
Awali msanii wa WCB, Harmonize alidai kwenye interview kuwa hitmaker huyo wa Roho Yangu ameshainguka saini na kujiunga kwenye himaya hiyo.
Sallam amelazimika kuweka mambo sawa kupitia Twitter.
Hajakuwa signed Ila Harmonize ameona kuwa Rich alikuwa na mazungumzo na Viongozi akajua ni tayari.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.