Wednesday, March 30, 2016

Anonymous

MASANJA MKANDAMIZAJI NA MDADA HUYU WAKIWA NORWICH UK [+PICHAZ]


Pale unapokuwa na vyanzo vya habari sehemu mbalimbali....hapa ni Masanja Mkandamizaji na Dada Mija (Mwanamke wa Shoka) Siku ya Ijumaa Kuu huko Norwich UK. Halafu wewe Mija una bahati sana kwani nilikuwa mbioni kukutangaza upo wapi ...hakika watu wengine wana machale...haya nashukuru unaonekana wa afya njema...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.