Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Lupela ya ALI KIBA Kwenye MTV BASE Kwa Mara ya Kwanza Kesho..


Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016 kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASE ambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo itazidi kuonekana nje ya mipaka ya Tanzania na kuzifikia nchi nyingine za Afrika kwenye mamilioni ya watazamaji wa MTV BASE.

Hii ndio post ya MTV Base Afrika iliyothibitisha kuionesha kupitia kituo hicho kesho saa sita mchana kwa mara ya kwanza

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.