Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

LINEX AFUNGUKA JUU YA SABABU ZA MASTAA KUFICHA MAHUSIANO YAO


Mwimbaji mahiri anaetamba na wimbo wake wa KwahelaLinex amesema matukio mengi ya nyuma ya wapenzi wa watu wengi maarufu ni chanzo kikubwa cha wengi kuficha mahusiano yao.Linex-Akizungumza katika mahojiano yake na kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika RadioLinex amesema kutokana na Skendo nyingi zinafanya wengi kuficha mahusiano yao ili kukwepa maneno ya watu kuhusu mpenzi wako.LINEX KWAHELA Amesema binadamu hawajakamilika kwahiyo unapomtangaza mpenzi wako kwa watu ni rahisi kuibuka maneno mengi kuhusu maisha ya nyuma ya mpenzi uliyenaye na pengine usipokuwa makini mnaweza kuachana.linex

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.