Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

HABARI PICHAZ: Mastaa wa Tanzania Walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

12826145_518141931680570_832871329_nMastaa mbalimbali wa Afrika jana waliadhimisha siku ya wanawake duniani kwa namna mbalimbali. Hawa ni baadhi ya waliotuma ujumbe mahsusi kwa wanawake wao muhimu maishani.
Mr Blue
12797627_948577181923988_1711716254_n
Ujumbe: #happywomensday
Diamond
12826145_518141931680570_832871329_n
Ujumbe: Allow me to wish Happy Women’s Day to my precious
Gelly wa Rhymes
11373677_1681896732048474_1731493022_n
Ujumbe: Happy women’s Day to all women out there!! Love u so much Elizabeth promise to make u proud Mum! God bless u!
Alikiba
12825842_550084581840803_1438229424_n
Ujumbe: Happy Women’s Day || Kheri ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mama yangu, dada yangu pamoja na Wanawake wengine wote Tanzania na duniani. Tunawathamini na kuwapenda sana. #WomensDay2016 #KingKiba
Mastaa wa Nigeria nao hawakuwa nyuma. Miongoni mwao ni Davido, D’ija na wengine.
P 21
Baada ya kupost picha hiyo, Di’ja aliandika, “ “M.A.M.A 😘😘😘😘😘😘 without u there is no me. Everyday is mother’s and Father’s Day.”
federico-macheda-5-4x3101-1330694_478x359
ngasaaaaa
P-21-300x194

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.