Chege ambaye ni staa wa single number 1 CloudsFM Top20 March 13 2016 alikaa kwenye OnAIRwithMillardAyo na kueleza mambo kadhaa ambayo Watanzania hawakuwa wameyasikia kutoka kwake, kaongelea BEEF ambayo wengi waliamini iko kati yake na Juma Nature, ugomvi wa kundi la UHURU alivyokwenda kufanya video South Africa pamoja na ishu nyingine…. mtazame kwenye hii video hapa chini.
Tuesday, March 15, 2016
Exclusive: Chege na kilichotokea alivyokutana na Juma Nature, Sweety Sweety na waliogombana South Africa
Chege ambaye ni staa wa single number 1 CloudsFM Top20 March 13 2016 alikaa kwenye OnAIRwithMillardAyo na kueleza mambo kadhaa ambayo Watanzania hawakuwa wameyasikia kutoka kwake, kaongelea BEEF ambayo wengi waliamini iko kati yake na Juma Nature, ugomvi wa kundi la UHURU alivyokwenda kufanya video South Africa pamoja na ishu nyingine…. mtazame kwenye hii video hapa chini.

Note: Only a member of this blog may post a comment.