Sunday, March 6, 2016

Anonymous

Dada wa January MAKAMBA, Mwamvita Ajibu Tuhuma za MANGE Kimambi Kuhusu Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni za Ufisadi wa Kaka Ake... Msikilize Hapa

January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.
Mwamvita Makamba SIKILIZA HAPA:

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.