Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

BREAKING NEWS: Ajali Mbaya Ya Daladala DCM na Lori la Ng'ombe Yaua Wengi Asubuhi Hii Jijini Dar

Mwenye ndugu jamaa au rafiki anaekaa Gongo La Mboto na anafanya kazi ubungo au alikuwa akielekea ubungo alfajiri ya leo... amtafute huyo ndugu jamaa au rafiki yake kujua kama ni mzima au laa.
Maana kuna ajali imetokea matumbi ikihusisha daladala(DCM) la G/Mboto-Ubungo na Lori la Mizigo pamoja na Lori lililokuwa limebeba ng’ombe.

Taarifa za awali zinaarifu kuwa kwenye DCM waliopona ni watu wasiofika watano na yale malori mengine hajatoka mtu hata mmoja. Mbaya zaidi ni kwamba DCM lilikuwa limejaza abiria mpaka wengine wakasimama.
Ajali hii mbaya sana imetokea pale kabla hujafika Tabata Matumbi pale darajani.
R.I.P Wote Waliofariki. 

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Kama bado hujaziona picha za ajali hiyo,waweza zicheki hapa==>>http://goo.gl/aNhrPA

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.